1. Fafanua changamato wanazokumbana nazo waajiriwa katika hadithi Harubu ya Maisha (alama 20)
2. Jadili matumizi ya pombe haramu na athari zake katika hadithi kila mchezea wembe (alama 20)
3. Fafanua wa ufaafu wa anwani Fadhila za Punda (alama 20)
4. Fafanua dhiki zinazowakumba raia katika hadithi ya Msiba za Kujitakia (alama 20)
5. Jadili ufaafu wa anwani Mapambazuko ya Machweo (alama 20)
Published on:22/09/2022
42781 views